Prof. Muhongo Awaondoa Hofu Wapiga Kura Wake Baada ya Kufutwa Kazi
MARA: Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Musoma Vijiji Prof. Sospeter Muhongo amewasihi wakazi wa jimbo hilo kutokuingiwa na hofu kufuatia uamuzi wa Rais Dkt Magufuli kumfuta kazi.
Prof. Muhongo amewataka wapigakura…