The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Ronaldo

Ronaldo Hali Mbaya

Nyota Cristiano Ronaldo jana alishindwa kuisaidia Ureno kupata nafasi ya kucheza Kombe la Dunia baada ya kuchapwa 2-1 nyumbani na Serbia Uwanja wa Luz Jijini Lisbon. Renato Sanches aliyeanza badala ya Bruno Fernandes…

Cavani Amuachia Jezi Ronaldo

Klabu ya Manchester United imemkabidhi rasmi jezi namba 7 kwa Cristiano Ronaldo ambaye amesajiliwa hivi karibuni. Namba 7 ilikuwa inavaliwa na mshambuliaji Edison Cavani ambaye amepewa namba 21 ambayo awali ilikuwa inavaliwa na…

Ronaldo Kutua Manchester City?

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Uingereza, Manchester City wamepewa nafasi ya ya kumsajili mshambuliaji Cristiano Ronaldo kutokea Juventus. Mkataba wa Ronaldo na Juventus mwisho mwa msimu ujao katika majira ya kiangazi hivyo…

Halaand Awavuruga Messi na Ronaldo

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund ya Ujerumani Erling Braut Haaland amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 20 kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, akiwa na umri wa miaka 20 lakini pia katika idadi ndogo ya michezo 14, baada ya…

Messi, Ronaldo Mtegoni UEFA

LIGI ya Mabingwa Ulaya, hatua ya 16 bora inatarajiwa kuendelea leo Jumanne na kesho Jumatano huku mastaa wa soka, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wakiwa katika mtihani mzigo wa kuhakikisha wanazivusha timu zao kwenda hatua ya robo…

Ronaldo Aweka Rekodi ya Dunia

CRISTIANO RONALDO ameweka rekodi ya kuwa kinara wa ufungaji mabao kwenye historia ya mpira wa miguu duniani kwa kufikisha magoli 760, baada ya kufunga kwenye mchezo wa fainali ya Italia Super Cup dhidi ya Napoli, mchezo ambao Juventus…

Ureno Wautema Ubingwa wa Uefa Nations League

TIMU ya Taifa ya Ufaransa imekuwa timu ya kwanza kutinga kwenye Fainali za UEFA Nations League ambazo ( zile timu 4 za mwisho ) baada ya kuibuka kidedea dhidi ya bingwa mtetezi Ureno kwa bao 1-0. Ufaransa wanaongoza kundi C…

Ronaldo Akutwa na Corona

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo (35) amebainika kuwa ameambukizwa virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19. Benchi la ufundi la mabingwa hao wa Ulaya limethibitisha taarifa hiyo. Ronaldo…

Bonucci Amkingia Kifua Ronaldo

BEKI wa Juventus, Leonardo Bonucci, amesema hawaelewi watu wanaomshangaa Cristiano Ronaldo kukosa penalti kwani ni kitu cha kawaida. Juzi Ijumaa, Juventus ilicheza mchezo wa Coppa Italia dhidi ya AC Milan na Ronaldo alikosa…

Ronaldo Apelekwa Karantini

WAKATI wachezaji wa Juventus wakianza mazoezi baada ya kuelezwa Serie A ipo njiani kurudi tena, staa wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo amepelekwa karantini. Ronaldo ambaye alikuwa kwao Ureno kwa mapumziko baada ya ligi hiyo kusimama…

Ureno Yapangwa Kundi la Kifo Euro

MAKUNDI ya michuano ya Kombe la Euro yalipangwa juzi huku kukiwa na kundi la kifo ambalo lilizua gumzo. Michuano ya Euro itafanyika mwakani ikiwa inasubiriwa na mashabiki wengi sana duniani kote. Kundi F, ambalo limepangwa timu…