×

Tag: Ronaldo

Ronaldo… Dakika Tisini Tu, Rekodi Kibao

TURIN, Italia: CRISTIANO Ronaldo ambaye ni mshindi mara tano wa Tuzo ya Ballon d’Or, wiki hii ameweka rekodi kadhaa ndani ya...

READ MORE

Alichokifanya Ronaldo Mbele ya Messi Usiku

USIKU wa jana ulikuwa wa kihistoria kwa mahasimu wawili wa soka duniani kwa sasa, Cristiano Ronaldo wa Juventus ya Italia...

READ MORE

Ronaldo Aiua Uswizi, Aipeleka Ureno Nusu Fainali UEFA

SUPASTAAwa soka,  Cristiano Ronaldo,  ameivusha Ureno kwa kuweka kambani mabao 3 ‘hatrick’ dhidi ya timu ya taifa ya Uswizi katika...

READ MORE

Ronaldo: Namkubali sana Mbappe

RAIS wa Klabu ya Real Valladolid, Ronaldo Nazario de Lima, amemsifia mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe na kusema kuwa...

READ MORE

RONALDOAWEKA REKODI DUNIANI

SHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo, juzi, aliweka rekodi ya pekee baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Italia (Serie A),...

READ MORE

RONALDO NI HABARI NYINGINE, AISAMBARATISHA ATLETICO KWA HAT-TRICK

DUNIA nzima inatambua ubora wa mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo na hakuna ambaye alishangaa kwa kile alichofanya usiku wa kuamkia...

READ MORE

Ronaldo: Niliachana na Real Madrid Sababu ya Rais Florentino Pérez

MWANASOKA Cristiano Ronaldo amesema kubadilika kwa uhusiano wake na rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Pérez, kulimfanya aachane na...

READ MORE

Skendo Ya Kubaka Inampasua Kichwa Ronaldo

STAA wa Juven­tus, Cristiano Ron­aldo amedai kuwa kuna watu walifoji taar­ifa zake kuhusu skendo ya ubakaji inayomuan­dama kwa sasa. Ronaldo...

READ MORE

Luka Modric Anyakua Mchezaji Bora, Ronaldo Mshambuliaji Bora

KIUNGO wa Klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Croatia, Luka Modric amefanikiwa kutwaa tuzo ya...

READ MORE

Ronaldo, Modric, Salah Vitani Mchezaji Bora, Messi, Mbappe Waenguliwa

Shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza majina ya Nyota wanaoshindania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ulaya UEFA kwa mwaka 2017/2018 ambao ni...

READ MORE

Vinara 10 Wanaowania Mchezaji Bora wa Dunia 2018

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza majina 10 ya wachezaji wa kiume wanaowania tuzo ya FIFA ya mchezaji bora wa...

READ MORE

Lionel Messi Kumfata Cristiano Ronaldo

VITA kali ya mafanikio kati ya mahasimu wa soka  duniani, Cristiano Ronaldo wa Juventus na Lionel Messi wa barcelona haijafika kikomo...

READ MORE

Hatimaye Ronaldo Afanya Vipimo Juventus

HUKU  shamra za fainali ya Kombe la Dunia baina ya Ufaransa na Croatia zikiwa zinaendelea kusikika duniani, masikio na macho...

READ MORE

DILI RONALDO KUSEPA MADRID LAIVA, EURO 88M KUMPELEKA JUVE

HATIMAYE Juventus wana uhakika kuwa watamsainisha mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo. Kwa mujibu wa habari zilizopo, mchezaji huyo wa...

READ MORE

Refa Amuomba Jezi Ronaldo Mechi Ikiendelea

Refa Mark Geiger aliyechezesha mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia juzi Juni 20, 2018 kati ya Morocco dhidi ya...

READ MORE

Njia 2 za Kuongeza Kipato Chako!

KARIBU msomaji wangu, ni Jumatatu nyingine murua! Hivi umewahi kujiuliza utawezaje kuongeza pesa ambazo unazipata katika maisha yako? Watu wengi...

READ MORE

SOKABET INAVYOKUPA SH 100M KWA BUKU TU, FANYA HAYA…

  KATIKA Sokabet Jackpot unaweza kushinda hadi Sh milioni 100 ikiwa utapatia matokeo ya michezo 13 tu huku wewe ukiweka...

READ MORE

KUELEKEA NUSU FAINALI UCL: Bayern vs Real Madrid – VIDEO

Katika historia ya michuano hii, hakuna mchezo ambao umekutanisha timu mbili mara nyingi katika mchezo huu wa leo. Kiujumla wanaume...

READ MORE

WALIOFIKISHA MABAO 50 KATIKA MICHUANO YA KLABU UEFA:

CRIST IANO Ronaldo ame­kuwa mche­zaji wa kwanza kufunga mabao 120 katika mi­chuano ya klabu Ulaya: siyo mbaya, hasa kwa kuwa...

READ MORE

RANALDO: ANATAJWA BORA ZAIDI UEFA KIHISTORIA

MADRID, Hispania: MIEZI kadhaa iliyopita, kuna wengi waliombe­za Cristiano Ronaldo wakati akipitia kipindi kigumu cha ukame. Ni Ronaldo huyo­huyo ambaye...

READ MORE

Ronaldo Alichomfanyia Mo Salaha Jana, Hatosahau Maisha Yake – Video

MWANASOKA bora wa dunia anayeichezea Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo amefanikiwa kuonesha ubabe wake mbele...

READ MORE

Madrid Yaichapa Girona 6-3, Ronaldo Yupo On-Fire, Atupia Nne

  KLABU ya Real Madrid wakiwa nyumbani wameinyuka timu ya Girona kwa mabao 6-3 katika mechi ya Ligi Kuu Hispania...

READ MORE

Ronaldo, Casemiro Waing’oa PSG Champions League

KLABU ya Real Madrid ya nchini Hispania imeing’oa timu Paris Saint German (PSG) ya Ufaransa wakiwa nyumbani baada ya kuichapa...

READ MORE

Zidane Ampiga Chini Ronaldo

KOCHA wa Real Madrid ya Uhispania, Zinedine Zidane amemwacha Cristiano Ronaldo katika kikosi cha timu hiyo kitakachocheza leo usiku dhidi...

READ MORE

Madrid Yaitwanga PSG ya Neymar, Ronaldo Aweka Rekodi

KLABU ya soka ya Real Madrid imeishushia kipigo cha bao 3-1 timu ya Paris Saint German – PSG anayoichezea Mbrazili,...

READ MORE

RONALDO APASULIWA USO, MADRID IKISHINDA 7-1 – VIDEO

LICHA ya ushindi wa bao 7-1 dhidi ya Derpotivo la Coruna walioupata Real Madrid katika La Liga, mshambuliaji wake, wa...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Aanza Harakati za Kurejea Man U

STAA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo hana furaha Real Madrid na anataka kurejea Manchester United. Ronaldo amekasirishwa na kitendo cha...

READ MORE

EL Clasico: Messi vs Ronaldo Leo ni Vita ya Awababe

LEO ni vita ya kufunga mwaka kwenye Ligi Kuu Soka ya Hispania maarufu kama La Liga, nyota wawili kutoka timu...

READ MORE

Kutana na Mapacha wa Neymar, Ronaldo, Messi, Zlatan – (Video)

KATIKA dunia, kufanana ni jambo la kawaida lakina ni nadra sana kukutana na mtu ambaye unaweza kufanana naye kwa asilimia...

READ MORE

Ronaldo Atwaa Ballon d’Or kwa Mara ya 5, Awabwaga Messi, Neymar

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Real Madrid, na Timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Ballon d’Or kwa...

READ MORE

Ronaldo Awaburuza Messi, Neymar, Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia 2017

MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Ureno na Klabu ya Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo ameshinda Tuzo ya Shirikisho la Soka...

READ MORE

Sokabet: Hivi Ndivyo Buku Itakavyokupa Sh Milioni 100

Fungua tovuti ya Sokabet ambayo ni www. sokabet.co.tz kupitia simu, kompyuta au kifaa chochote kilichounganishwa na internet.   Jiandikishe kwa...

READ MORE

Uzinduzi wa Sokabet ni Leo, Endelea Kuvuna Mkwanja

SIKU chache tangu Kampuni ya Sokabet ianze kuwawezesha Watanzania kuvuna mkwanja kutokana na mchezo wa kutabiri matokeo, hatimaye uzinduzi rasmi...

READ MORE

RONALDO ANUKIA UCHEZAJI BORA FIFA

  RONALDO ANUKIA UCHEZAJI BORA… Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wanaowania Tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia wa Shirikisho la...

READ MORE

CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO

Staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefungiwa kutocheza mechi tano kutokana na kumsukuma mwamuzi katika mchezo dhidi ya Barcelona, jana...

READ MORE

RONALDO MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUKWEPA KODI

Mwanasoka Cristiano Ronaldo leo amefika mahakamani huko Hispania kwa tuhuma ya kukwepa kodi. Mwanasoka huyu anatuhumiwa kwa kukwepa kiasi cha...

READ MORE

Ronaldo Anafyatua Tu!

  MIEZI kadhaa iliyopita, Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa akisema kuwa kwa jinsi serikali yake inavyofanya kazi,...

READ MORE

Ronaldo Amezaliwa Maskini, kwa Nini wewe Ushindwe?

MAKALA: Nyemo Chilongani na Mtandao MPENZI msomaji lengo la ukurasa huu ni kupeana mbinu za namna ya kutengeneza fedha na...

READ MORE

Ronaldo Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia wa FIFA, Awagaragaza Messi na Griezmann

Mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia wa FIFA Ronaldo, 31, amewafunika...

READ MORE

Ronaldo akataa bilioni 4 kwa wiki China

Madrid, Hispania IMEFAHAMIKA kuwa staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo alikuwa ana nafasi ya kuweka rekodi ya kulipwa mshahara mkubwa zaidi...

READ MORE