Sasha aeleza anavyosakwa alipiziwe kisasi
VIDEO queen na msanii wa filamu za Kibongo, Sasha Kassim ameibuka na kueleza jinsi anavyopitia kwenye wakati mgumu kukwepa vishawishi vya wanaume wanaomsaka ili kumlipizia kisasi kufuatia kauli yake. Miezi kadhaa iliyopita, Sasha…
