Kisinda Atua Rasmi Yanga Huku Timu Hiyo Ikihesabu siku za Kumpokea Mrithi wa Senzo
YANGA imempokea winga teleza, Tuisila Kisinda ‘TK Master’ aliyetua alfajiri ya leo akitokea nchini Morocco alikokuwa akiichezea RS Berkane, lakini taarifa za kusisimua ni kwamba klabu hiyo inahesabu siku kabla ya kushusha Ofisa Mtendaji…