The House of Favourite Newspapers

Senzo Mazingisa Ajiuzulu Utendaji Mkuu Simba

0

Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Senzo Mbatha ametangaza kujiuzulu nafasi yake katika klabu hiyo,leo Agosti 9, 2020. Senzo ameishukuru klabu kwa mafanikio yaliyopatikana kwenye kipindi kifupi.

Kwa msimu wa 2019/20, Senzo ameweza kushuhudia timu ikitwaa mataji matatu ambayo ni pamoja na ngao ya jamii, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho.
Habari zinaeleza kuwa sababu ya kujiweka kando ni kutokuwa na maelewano mazuri ndani ya Simba kwenye masuala ya uongozi.
A special thank you message to @SimbaSCTanzania leadership for providing me the opportunity to lead this great club. I regrettably have tendered my resignation from the club with immediate effect. Within a short space of time , a lot has been achieved. Asanteni Sana wana Simba.
Leave A Reply