Watuhumiwa 267 Wakamatwa na Polisi Pasaka
JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema limewakamata watuhumiwa 267 wa makosa mbalimbali ya uhalifu wakiwemo wa madawa ya kulevya kipindi cha kuelekea sikukuu ya Pasaka kati ya Aprili 13 na 17 mwaka huu.
Akizungumza na…