Ndugai Ashauri Wizara ya Fedha Kuchukua Deni la Msd
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema suala la kukosekana kwa dawa mahospitalini ni la muda mrefu hivyo ameiomba Wizara ya Fedha na Mipango kuchukua deni la Bohari ya Dawa nchini (MSD) ilikusaidia…