Stamina Afichua Kilichomuua Dairekta Khalfani – Video
Staa wa Bongo Fleva, Stamina 'Shorobwenzi' amesema kifo cha Dairekta Khalfani ni pigo kubwa kwa sanaa ya muziki wa kizazi kipya kwani alikuwa ni mtu wa kutegemewa linapokuja suala la kushoot video za nyimbo za wasanii.
Amesema kwa…
