The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

stars

Tanzania Yapanda Viwango FIFA

TANZANIA imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora wa soka kwa mwezi Oktoba vilivyowekwa hadharani jana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA). Kutoka nafasi ya 132 iliyokuwepo katika viwango vya mwezi…

Msuva aahidi jambo Stars

NYOTA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, amesema kuwa, wataendelea kupambana katika mechi za kufuzu Kombe la Dunia kuhakikisha wanafikia malengo. Kauli ya Msuva imekuja baada ya juzi Jumapili kufunga bao pekee na kuipa ushindi…

Stars Kuvaa Tunisia Kibabe Leo

TIMU ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo Ijumaa inatarajia kucheza mchezo wake wa tatu wa kuwania kufuzu fainali za mataifa Afrika (Afcon) dhidi ya Tunisia kwenye Uwanja wa Rades, Tunisia kuanzia saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika…

Gadiel: Tutakufa na Kenya

BEKI wa kushoto wa Taifa Stars, Gadiel Michael, amewaondoa shaka Watanzania na kuahidi kupambana kufa na kupona katika mchezo wa kesho Alhamisi dhidi ya Kenya. Taifa Stars na Kenya, kesho zitapambana kwenye michuano ya Kombe la…