Tarura Tanganyika Wapewa Siku 30 Kukamilisha Ukarabati Daraja la Ifume
MTENDAJI MKUU wa Mamlaka ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) Eng. Victor Seff ametoa mwezi mmoja kwa TARURA Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kukamilisha ukarabati wa Daraja la Ifume.
Eng. Seff ametoa maagizo hayo leo Mei 17,…