Tanzia: Naibu Waziri wa Kikwete Afariki Dunia
MBUNGE wa zamani wa Mpwapwa mkoani Dodoma nchini Tanzania, Gregory Teu, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kujisikia vibaya akiwa kikaoni.
Akizungumza jana Jumatatu Januari 25, 2021, msemaji wa ukoo wa Teu…
