Wahindi Wekundu; Wanaotembea Bila Nguo, Walaji Wa Nyani!-3
KATIKA mfululizo wa makala za safu hii, naendelea kukuletea Wahindi Wekundu wa Kabila la Huarorani, hawa wanaishi kwenye misitu ya Amazoni huko Jamhuri ya Ecuador.
Niliandika kuwa nchi hii ipo Kaskazini Mashariki ya Bara la Amerika…
