Wasichana Wavuliwa Nguo kisha Kutembezwa Uchi
WASICHANA wapatao sita wadogo katika eneo la kati mwa India wamevuliwa nguo na kutembezwa katika maandamano wakiwa uchi kama sehemu ya matambiko ya kuombea mvua. Tukio hilo lilitokea katika kijiji kilichokumbwa na ukame katika eneo la…
