×

Tag: Zanzibar

Rais wa Zanzibar Atengua Uteuzi wa Bosi wa Zanroads na Kamishna wa Idara ya Bajeti

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi leo Jumanne Septemba 12, 2023 ametengua uteuzi...

READ MORE

Rais Mwinyi Kufanya Ziara ya Kikazi Nchini China

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea jijini Dar es Salaam tayari...

READ MORE

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival)

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival) Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja,...

READ MORE

Live: Rais Samia Anashiriki Maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi Visiwani Zanzibar-VIDEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anashiriki maadhimisho ya siku ya KIZIMKAZI, Visiwani Zanzibar wakati huu....

READ MORE

Rais Mwinyi Amuwakilisha Rais Samia Kwenye Sherehe za Uhuru Nchini Burundi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mariam Mwinyi wamejumuika na Viongozi...

READ MORE

Rais Samia Awasili Zanzibar Baada ya Kuhitimisha Ziara Yake Nchini Oman na Saudi Arabia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Visiwani Zanzibar mara baada ya kumaliza ziara yake ya...

READ MORE

Waziri wa Biashara, Zanzibar Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa WIPO

LEO tarehe 14 Juni 2022, Mhe. Omar Shaaban, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar ambaye ameongoza Ujumbe wa...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Dkt Mwinyi Akutana na Jumuiya ya Wahindu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Mei 28, 2022 amekutana na Jumuiya...

READ MORE

Raia Zanzibar, Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kukata Viuno Hadharani

Maulid Hussein Abdallah, mkazi wa Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja visiwani Zanzibar, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kukata...

READ MORE

Watu 9 Wamefariki Katika Ajali ya Boti Zanzibar

WATU tisa wamefariki dunia, na wengine sita wameokolewa wakiwa hai na wengine zaidi ya kumi hawajulikani walipo baada ya boti...

READ MORE

Zanzibar: Rais Avunja Bodi Ya Shirika La Nyumba

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuvunja Bodi ya Shirika la Nyumba kuanzia leo Agosti 27, 2021 Vilevile,...

READ MORE

CCM Yashinda Ubunge Jimbo la Konde

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda uchaguzi katika jimbo la Konde visiwani Zanzibar, baada ya mgombea wake Sheha Faki kujipatia kura...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Ateua Mkurugenzi wa Tume Uchaguzi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Wakurugenzi kama ifuatavyo:

READ MORE

Exim Yakamilisha Ukarabati Vyoo Vya Shule Zanzibar

Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Sadifa Juma akikagua moja ya chumba cha vyoo vya Shule...

READ MORE

Rais mwinyi Afanya Uteuzi Wizara ya Habari

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi katika Wizara...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mwinyi Amteua Masoud Makamu wa Kwanza wa Rais

OTHMAN  Masoud Othman ameteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kujaza nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad ambaye...

READ MORE

Televisheni Yafungiwa kwa Kukiuka Maombolezo ya Maalim Seif

TUME ya Utangazaji Zanzibar imekifungia kituo cha televisheni cha Tifu kwa muda wa siku saba baada ya kudaiwa kurusha vipindi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Simba Warudi Dar Kinyonge, Mashabiki Watambiana Wakiwapokea (Picha+Video)

Kikosi cha Simba leo Januari 14, 2021 kimewasili salama jijini Dar es Salaam kikitokea Zanzibar baada ya kukosa ubingwa wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mwinyi Amwapisha Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Januari 2, 2021, amemwapisha Mhandisi Zena...

READ MORE

Wawili Wapoteza Maisha Kwenye Jumba la Maajabu Zanzibar

Taarifa ya Wizara ya Maliasili na Mambo ya Kale ya Zanzibar kuhusu kuporomoka kwa Jengo la Maajabu na kusababisha vifo...

READ MORE

Breaking: Jengo la Kihistoria Laanguka Zanzibar – Video

JENGO la ghorofa linalofahamika kama House of Wonders au Palace of Wonders (Beit Al Ajaib) lililopo Stone Town, Zanzibar limeanguka...

READ MORE

Fahamu Chanzo cha Serikali ya Umoja ya Kitaifa Zanzibar

KWA mujibu wa ripoti ya Human Rights Watch, maandamano ya Januari 2001 yaliondoka na roho za waandamanaji 35 katika kisiwa...

READ MORE

Rais Mwinyi Amtumbua Katibu Wake Siku 37 Baada ya Kumwapisha

Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, Desemba 14, 2020 ametengua uteuzi wa Katibu wa rais, Suleiman Ahmed Saleh na...

READ MORE

Rais Dk. Hussein Mwinyi Akutana na Uongozi wa Nmb Ikulu Zanzibar

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na uongozi wa Benki ya NMB...

READ MORE

Nangasu Warema: Watanzania Wautangaze Utalii wa Nchi Yao

BALOZI wa utalii Tanzania, Nangasu Warema, amewataka Watanzania wa makundi yote kuutangaza utajiri mkubwa wa utalii nchini mwao ili kuinufaisha...

READ MORE

Nafasi ya kazi CVPeople Tanzania , Plumbing Manager

Job Description    Install, repair, and maintain pipes, valves, fittings, drainage systems, and fixtures in commercial and residential structures. Collaborate...

READ MORE

Mwinyi Ateua Wakuu wa Mikoa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Mwinyi,  jana Desemba Mosi, 2020,  ameteua wakuu wa mikoa, kwa...

READ MORE

Mwinyi Aapisha Mawaziri, Awapa Maagizo Mazito – Video

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, amewashukuru mawaziri wote...

READ MORE

Mwinyi Atangaza Mawaziri, Awaandikia ACT Wazalendo – Video

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza baraza jipya la mawaziri leo...

READ MORE

Breaking News: Dkt. Mwinyi Ashinda Urais Zanzibar – Video

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dk Hussein Mwinyi kuwa mshindi wa...

READ MORE

Asubuhi Hii! Kura Zaanza Kupigwa Zanzibar – Video

Zoezi la upigaji kura ya mapema huko Zanzibar limeanza saa moja asubuhi. Kwa hii leo wanaopiga kura ni wa chache...

READ MORE

Mapokezi ya Magufuli Zanzibar ni Balaa! – Video

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe ameshawasili Zanzibar leo, Ijumaa,...

READ MORE

Rais Shein Atoa Tamko Kuhusu #Covid19

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wa mikoa ya Pemba...

READ MORE

Corona: Wagonjwa 6 Waongezeka Zanzibar, Mmoja Afariki

WIZARA  ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya sita wa virusi vya Corona na kufikisha idadi ya wagonjwa 18 kutoka 12...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Zanzibar Wafikia 9

WIZARA ya Afya ya Zanzibar imesema wagonjwa wawili wa corona wameongezeka visiwani humo na kufanya idadi ya wanaougua ugonjwa huo...

READ MORE

JPM Amuonya Mkandarasi, Ampiga Biti Katibu Mkuu – Video

    RAIS John Magufuli leo Jumamosi Januari 11, 2020,  anaendelea na ziara yake ya kikazi visiwani Zanzibar ambapo ameweka...

READ MORE