The House of Favourite Newspapers

TBL YAUNGANA NA WATANZANIA KWA KUWASHUSHIA FRIJI YA USHINDI

WATANZANIA  wameangalia mchezo wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Kenya uliochezwa jana usiku Juni 27, 2019, uliomalizika kwa Kenya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 katika katika Baa ya 5N iliyoko Sinza jijini Dar es Salaam huku wakiungana na Kampuni ya Bia nchini kupitia bia yake ya Kilimanjaro Primium Lager kwenye Kampeni ya shusha Friji ambapo Watanzania tukishinda friji inafunguliwa na kugawa bia bure.

Katika mchezo huo ni wa pili kwa timu hizo katika michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) inayoendelea kwa sasa hapa Misri.

Comments are closed.