The House of Favourite Newspapers

TECNO YAZINDUA BODA LA SPARK 3

Kampuni ya simu ya TECNO mobile inawakaribisha wateja wake kununua simu mpya iliyozinduliwa hivi karibuni aina ya TECNO SPARK 3 na kujishindia zawadi kemkem ikiwemo pikipiki mpya.

 

Promotion hiyo iliyopewa jina la boda la spark 3 inaanza kwa mkoa wa dar es Salaam kisha kuenea mikoa mingine hapo baadaye, mteja atakayenunua TECNO spark 3 kwenye maduka maalumu ya TECNO yenye promotion hiyo atapewa nafasi ya kuondoka na zawadi za papo kwa papo kama power bank yenye mAh 5000 na pamoja data cable.

 

 

TECNO Spark 3 ni simu ya kijanja yenye uwezo mkubwa wa kupiga picha pamoja na kufanya vitu mbalimbali mitandaoni imezinduliwa takribani mwezi mmoja ikiwa ndiyo simu inayofanya vizuri zaidi kwa upande wa simu janja za kipato cha kati.

 

TECNO SPARK 3 ina ubora wa kamera yenye megapixel 13, huku mtumiaji anapata nafasi ya kuhifadhi vitu vyake kwenye GB 16 za memory ya ndani na muonekano wake ni wakijanja na ndiyo maana inafanya vizuri sokoni.

 

Angalia zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=dIErOrhsOik
Mshindi wa pikipiki atapatikana mwisho wa mwezi wa sita kwa njia ya bahati nasibu itakayo chezeshwa live kupitia mitandao ya kijamii ya TECNO mobile hasa Instagram.

 

https://www.instagram.com/tecnomobiletanzania/Fika maduka ya TECNO yafuatayo ili kushinda zawadi kemkem unaponunua simu hii ya SPARK3, TECNO exclusive mobimart , TECNO exclusive mashreq, TECNO excuslive inorbit, TECNO exclusive hyatt, TECNO smart hub china plaza, maduka haya yanapatikana msimbazi kariako na mtaa wa agrey lakin kwa upande wa mtaa sa samora posta lipo duka TECNO Experience centre huku upande wa mlimani Duka la TECNO smart hub.

Comments are closed.