The House of Favourite Newspapers

Tiffany, ‘Black Panther’ Wagombea Kutayarisha ‘MTV Movie & TV Awards’

Tiffany (kushoto) na Black Panther.

WAIGIZAJI  wa Marekani, Tiffany Haddish na Winston Duke (Black Panther) hivi sasa wanagombea nafasi ya kutayarisha hafla ya MTV Movie And TV Awards ambapo wawili hao walikutana kwenye shoo hiyo ya mwaka huu huko Barker Hangar mwishoni mwa wiki mjini Santa Monica, California.

Katika tukio hilo, Black Panther alikuwa amevalia ‘tracksuit’ ya kupendeza ya timu ya taifa ya soka ya Nigeria ambapo siku hiyo ilikuwa inacheza na Croatia katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi.

Winston Duke (Black Panther).

Comments are closed.