The House of Favourite Newspapers

TUKIO ZIMA: Wanafunzi Wachomana Visu DAR! – Video

MWANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Msimbazi anadaiwa kuchoma mwanafunzi mwenzake kisu kichwani baada ya kutaka kulipiza kisasi kutokana na ugomvi waliokuwa nao viajana hao.

 

Sakata hilo lililotokea katika shule hiyo wanafunzi wamesema kuwa sio mara kwanza kutokea matukio hayo katika shule yao.

VIDEO: SHUHUDIA HAPA

Comments are closed.