The House of Favourite Newspapers

UNYAMA WA MEEK MILL KWENYE MAUZO YA WEEK YA KWANZA YA ALBUM YAKE

Album ya Meek Mill Championshops ilitoka November 29 na kwa muda wa week ya kwanza kukatika, album hiyo tayari imeshauza zaidi ya kopi laki 229,000 huku kwa upande wa kusikilizwa kwenye mtandao ikiwa imesikilizwa mara millioni 235.4 kwa album nzima.

 

Kwa mauzo na kusikilizwa huko kumeiwezesha album ya Championships kuingia kwenye chart kubwa duniani za album bora 200 za Billboar (Billboard 200) kwa week hii.

 

Wimbo wake na aliyekuwa hasimu wake Drake, ‘Going bad’ imefanikiwa kuingia katika chart za nyimbo 100 bora za billboard kwenye top 10 nafasi ya 6 kwa week hii hapa.

 

Meek Mill ameipongeza album yake kwa kuingia katika chart za Billboard 200 kwa post hapo chini.

 

Championships ni album ya nne ya Meek Mill ila ni ya kwanza toka atoke jela aprili mwaka huu.

 

#ISIKUPITE:Amber Rutty Alivyotinga Mahakamani na Mchungaji!

 

Comments are closed.