The House of Favourite Newspapers

Usafi wapamba moto jijini Dar

1.Mmoja wa vijana hao akiondoa taka zilizokuwa zimetupwa kwenye mitaro hiyo.

Mmoja wa vijana hao akiondoa takataka.

KUFUATIA agizo la Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli la kutaka maeneo mbalimbali ya hapa nchini kuwa masafi ili kuweza kuondokana na Ugonjwa wa Kipindupindu, leo hii mtandao wetu umenasa baadhi ya vijana wakifanya usafi kwa kukusanya uchafu uliokuwa umetupwa kwenye mitaro iliyopo kwenye kuta za barabara ya Morogoro eneo la Magomeni Mapipa.
Hapa ni baadhi ya picha zinazoonesha gari la kuzoa takataka likiwa eneo hilo huku vijana wakionekana kuzizoa.

NA DENIS MTIMA/GPL

Comments are closed.