The House of Favourite Newspapers

Ushauri wa Diwani wa Kijichi kwa Vijana Wote Bongo – Video

Diwani wa Kata ya Kijichi, Elias Mtarawanje amewasisitiza vijana kuuenzi Muungano wa Tanzania kama ulivyoasisiwa na wazee wa nchi yetu walioamua kuunganisha Tanganyika na Zanzibar kuwa nchi moja. 

Mtarawanje amewaomba viongozi kuendelea kuzifanyia kazi changamoto za Muungano na kuzirekebisha ili kuleta usawa pale panapotokea malalamiko.

VIDEO: MSIKIE MTARAWANJE AKIZUNGUMZA

Comments are closed.