The House of Favourite Newspapers

Usiku wa Masebene Dar Live… Twanga pepeta acha kabisa!

0

Twanga (1)Ally Choki akiimbaTwanga (2)Waimbaji Kalala Jr. (Kushoto), Jumanne Ramadhani na Haji wakiimba kwa pamoja.Twanga (3)Kalala na Luiza Mbutu.Twanga (4)Mpiga gitaa la besi, Oseya akiserebuka na mnenguaji wa bendi hiyo.Twanga (5)Wanenguaji, Maria Salome na Haji wakifanya yao.Twanga (6)Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakipagawisha.Twanga (7)Oseya na Kalala Jr wakitimiza wajibu wao jukwaani.Twanga (8) Wanenguaji wakionesha umahili wao kwa staili ya mgongomgongo.

Na Issa Mnally

USIKU wa masebene ndiyo tunaweza kusema hivyo baada ya Bendi ya Muziki wa dansi ya African Stars ‘Twanga pepeta wakiongozwa na Ally Choki ‘Mzee wa Farasi’ usiku wa kuamkia leo kufanya onesho la nguvu lililosababishsa mashabiki na wapenzi wa burudani kupagawa ndani ya ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem jijini Dar.

Onesho hilo ambalo lilikuwa mahsusi katika kukamilisha sherehe za kuukaribisha mwaka 2016 lilikuwa la aina yake kutokana  na mashabiki kupagawa na kuvamia jukwaa mara kwa mara huku wakinengua.

(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)

Leave A Reply