Usiku wa Valentine’s Special…. Dar Live ‘Pamechafuka’!

ILE shoo ya kukata na shoka ya usiku wa wapendanao, Valentine’s Special imetikisa katika wa Taifa wa Burudani, Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.

 

Wasanii kibao wamegonga shoo huku mashabiki wakibeng chini kwa chini na kuufanya uwanja kuitika shangwe kila baada ya dakika kadhaa.

 

Shuhudia picha mwenyewe.

PICHA NA GLOBAL TV ONLINE


Loading...

Toa comment