Utawakubali Weusi Toka Chuga Kwenye ‘Wapoloo’ Video Mpya
Kundi bora la muziki Tanzania Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki Wa Pili, G Nako pamoja na Lord Eyez toka Arusha wameileta video yao mpya ya Wapoloo.
Mjeshi, Whozu, Mr Beneficial, Jux wameonekana ndani ya video hii ya Weusi.Video imeongozwa na Msafiri toka Kwetu Studio.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.