The House of Favourite Newspapers

UZINDUZI WA UKUTA KUZUNGUKA MIGODI YA TANZANITE MEREARNI

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kikao cha majumuisho kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 6, 2018.

 

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akipokelewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kikao cha majumuisho kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Florence Turuka wakati wakikagua maendeleo ya maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

 

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti (wapili kutoka kushoto) akikagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kufanyika leo.

 

Sehemu ya ukuta unaozunguka mgodi wa Tanzanite kama unavyoonekana kabla ya uzinduzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 6 Aprili 2018 katika eneo la Mirerani Mkoani Manyara.

 

Sehemu ya Majukwaa yatakayotumika wakati wa uzinduzi wa ukuta unaouzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

 

PIX7.Mafundi wakiwa katika hatua za mwisho kukamilisha maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

 

Mmoja wa mafundi akiendelea na kazi ya kuandaa eneo litakapowekwa jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

 

Sehemu ya geti la kuingia katika eneo la mgodi wa Tanzanite kama inavyoonekana katika picha.

 

Kanali Mtaula akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya maandalizi ya uzinduzi wa ukuta wa kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara kwa viongozi mbalimbali akiwemo Katibu mkuu Wizara ya Ulinzi na JKT Dkt. Florence Turuka na Katibu Mkuu Wizara ya Madini Prof. Saimon Msanjila, unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Comments are closed.