The House of Favourite Newspapers

Video: BASATA watinga Wasafi Festival “Diamond ni Hatari”


Tamasha kubwa La Wasafi Festival limefanyika mkoani Mtwara na kuhudhuriwa na wasanii kibao lakini pia serikali kupitia Baraza LA Sanaa LA Taifa (BASATA) imehudhuria.

Comments are closed.