The House of Favourite Newspapers

HARMONIZE AFUNIKA WASAFI FESTIVAL 2018 MTWARA

 Msanii wa muziki kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Harmonize, akiongea na mashabiki wengi waliofurika katika tamasha la Wasafi Festival 2018 katika  Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.
…Akishangaa baada ya mashabiki kumtaja shemeji yao kabla ya kuanza kuwapa shoo.
…Akitoa burudani kwa mashabiki.
…Akiwa kamkumbatia mama yake stejini.
…Akimsindikiza mama yake kutoka stejini.

Msanii wa muziki kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Harmonize, amefanya shoo ya aina yake katika tamasha la Wasafi Festival 2018 katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara usiku wa kuamkia leo.

PICHA NA MUSA MATEJA | MTWARA -GPL

BASATA watinga Wasafi Festival “Diamond ni Hatari”

Comments are closed.