VIDEO: DC JOKATE AJILIPUA – “Sijaolewa, Siwezi Kumshauri HARMONIZE Aoe”
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Harmonize, ameendelea na utamaduni wake wa kufuturisha ndani ya mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani ambapo leo Mei 25, amefanya hafla ya kufuturisha katika wilaya ya Kisarawe iliyopo chini ya Mkuu wake wa wilaya, Jokate Mwegelo.
Kabla ya kufika katika eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya Kufuturu, Harmonize akapitia kwanza ofisini kwa Mkuu wa wilaya hiyo, Jokate Mwegelo, na kuzungumza nae mambo mawili matatu ikiwa ni pamoja na kupeana ushauri wa hapa na pale.


Comments are closed.