The House of Favourite Newspapers

VIDEO: KIJANA ANAEPUMULIA GESI AFIKISHWA MUHIMBILI, DAKTARI AFUNGUKA ANACHOUMWA!


Kijana Hamadi Hawadhi mwenye umri wa miaka 28, anayesumbuliwa na ugonjwa unaomsababishia kuishi kwa kupumulia mashine ya Oxygen, Leo Septemba 12 amefanikiwa kufika katika hospitali ya Taifa Muhimbili tawi la Mloganzila kwa ajili ya kuchunguzwa zaidi afya yake.

Comments are closed.