The House of Favourite Newspapers

Video: MKUDE Nusura Aachwe Airport Usiku

KIKOSI kamili cha Simba kikiwa na mastaa kama Claytous Chama, Emmanuel Okwi, John Bocco kimeondoka alfajiri ya leo Jumapili kuelekea nchini Eswatini kikiwa na kiburi cha aina yake. Wanakwenda kurudiana na Mbabane Swallows kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambayo kocha wa Simba, Patrick Aussems amesema mastaa wake wakofiti na wanakwenda kumalizia kazi iliyobakia kwa kuitoa timu hiyo.

Kiungo wa Simba Jonas Mkude amejikuta yupo peke yake baada ya kuachwa kwenye gari la timu hiyo, na haikufahamika mara moja ni kitu gani kimesababisha kuachwa na wenzake ndani ya gari wakati timu hiyo ikisafiri kuelekea nchini swaziland kwenye mchezo wa marudiano dhiidi ya Mbabane Swallows

Simba waondoka kibabe usiku mnene kuifata mbabane swallows

Comments are closed.