The House of Favourite Newspapers

VIDEO: MWINYI ZAHERA AELEZA KUZUNGUMZA NA KOCHA TP MAZEMBE

Kocha Mkuu wa yanga Mwinyi zahera amesema mwenendo wa ligi haiendi vizuri kutoka na baadhi ya timu kuwa na mechi nyingi ambazo hajizachezwa.

 

Yanga ilimaliza mchezo ikiwa pungufu baada ya mkongwe, Kelvin Yondan kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 82 baada ya kumchezea rafu mchezaji wa Kagera Sugar, Kassim Khamis.

 

Matokeo haya yanaifanya Yanga kucheza jumla ya michezo 31 ikiwa imejikusanyia pointi 74 huku Kagera ikiwa imecheza michezo 32 na ina pointi 36 ikiwa nafasi ya 17 kwenye msimamo.

Comments are closed.