The House of Favourite Newspapers

Video: Rais Wa Ukraine Akataa Kutoroshwa Na Marekani

0

RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kumsaidia kuondoka Ukraine ili kuokoa maisha yake wakati majeshi ya Urusi yakiwa yameuzingira mji huo ambapo amenukuliwa akisema; “Unapotushambulia, utaona nyuso zetu, siyo migongo yetu”.

Leave A Reply