The House of Favourite Newspapers

Video: Rayvanny Ampongeza DJ wa Diamond

MWANAMUZIKI Kutoka WCB, Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvanny’,  amempongeza DJ wa Diamond, RJ the DJ, kwa hatua kubwa aliyopiga ya kufikia kuwa DJ wa kwanza kuzindua Album yake Bongo.

 

Rayvanny ameyasema hayo alipofika katika uzinduzi wa Album hiyo inayoitwa ‘Listening Changes’ uliofanyika usiku wa Julai 30, 2019, katika ukumbi wa Mlimani City.

 

Aidha Rayvanny amezungumzia  kukosekana kwake katika tamasha la Wasafi Festival 2019 lililofanyika mkoani Mwanza, ambapo amefafanua kwa kina utaratibu wa kuwachagua wasanii wa kupafomu kwenye tamasha hilo.

Comments are closed.