The House of Favourite Newspapers

Video ya Mayunga wa Airtel Trace Music Stars na Akon

0

Mashabiki wa muziki wamejitokeza kupakuwa kuitazama video ya Mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika Nalimi Mayunga aliyoifanya na mwanamuziki nguli nchini Marekani Akon

Bofya kwenye link hapo chini uone LIVE Video hiyo ya Mayunga au uone  maojiano yake wakati akiwa nchini marekani. Utapata kujua jinsi ambavyo  Airtel kupitia shindano lake la Airtel Trace Music Stars lilivyomwezesha Mayunga kufikia ndoto zake.

Mayunga feat Akon – Please Don’t Go Away (Official Video)

 

Leave A Reply