VIDEOMPYA:Shetta, Mzee Wa Bwax Ndani Ya Uswahilini

 

Msanii Shetta wameungana na mfalme wa uswazi, Mzee wa Bwax kwenye video ya wimbo wao mpya wa Uswahilini.

 

Video imeongozwa na Ivan, kwa upande wa audio imetengenezwa na Mesen Selekta

 

TAZAMA VIDEO HAPA


Loading...

Toa comment