Wabunge Wapitisha Kwa Kishindo Bajeti Kuu Ya Serikali – Video
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha kwa kishindo bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Msikilize Spika Tulia Ackson akielezea matokeo ya kura za wazi zilizopigwa na wabunge.

