Wafanyakazi Exim Washiriki NMB Marathon Kusaidia Matibabu Ya Fistula

 

Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakijipongeza na medali zao baada ya kushiriki mbio za Hisani za NMB Marathon zilizokuwa na kauli mbiu ‘Mwendo wa Upendo,’ zikilenga kukusanya kiasi cha Sh Bilioni 1 ili kufanikisha mpango wa matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo mapema hii leo. Mbali na kushiriki mbio hizo Benki hiyo pia ilitoa mchango wa fedha kiasi cha Sh Mil 10 kwa waandaaji wa mbio hizo ili kuunga mkono jitihada hizo.

Katika kuunga mkono agenda ya kusaidia matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania hii leo tarehe 25 Septemba 2021, wameungana na maelfu ya watanzania wengine akiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika kushiriki mbio za Hisani za NMB Marathon.

Tupo tayari kwa mbio! Ndivyo wanavyoonekana wakisema wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania walipojitokeza kushiriki mbio za Hisani za NMB Marathon zilizokuwa na kauli mbiu ‘Mwendo wa Upendo,’ zikilenga kukusanya kiasi cha Sh Bilioni 1 ili kufanikisha mpango wa matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo mapema hii leo. Mbali na kushiriki mbio hizo Benki hiyo pia ilitoa mchango wa fedha kiasi cha Sh Mil 10 kwa waandaaji wa mbio hizo ili kuunga mkono jitihada hizo.

Mbio hizo zilikuwa na kauli mbiu ‘Mwendo wa Upendo,’ zikilenga kukusanya kiasi cha Sh Bilioni 1 ili kufanikisha mpango huo.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakishiriki mbio hizo.

Mbali na kushiriki mbio hizo Benki hiyo pia ilitoa mchango wa fedha kiasi cha Sh Mil 10 kwa waandaaji wa mbio hizo  ili kuunga mkono jitihada hizo.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakishiriki mbio hizo.

 

 


Toa comment