The House of Favourite Newspapers

Wafanyakazi wa Vodacom Waadhimisha Mwezi wa Saratani ya Matiti Duniani Kwa Vitendo

thumbnail_004Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, wakimsikiliza kwa makini Meneja wa mauzo Happiness Shuma alipokuwa akitoa mada kuhusiana na elimu ya ugonjwa wa saratani ya matiti, wakati wa zoezi la kuwapima wafanyakazi wa kampuni hiyo lililofanyika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani city jijini Dar es Salaam,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani duniani.thumbnail_001-sarataniMeneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (kushoto) akipewa ushauri na Mtaalam wa magonjwa ya Saratani ya matiti  wa hospitali ya AAR Dkt. Zacharia Kabona wakati wa zoezi la kuwapima ugonjwa huo wafanyakazi wa kampuni hiyo uliofanyika  makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City leo jijinji Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani ya matiti duniani.

thumbnail_002-sarataniWafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakipewa ushauri na Mtaalam wa magonjwa ya Saratani ya matiti  wa hospitali ya AAR Dkt. Zacharia Kabona, (kulia) wakati wa zoezi la upimaji wa ugonjwa huo  kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo uliyofanyika  makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City leo jijinji Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani ya matiti duniani.

thumbnail_003Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam leo wakiwa kwenye semina maalumu ya upimaji wa ugonjwa wa Saratani ya Matiti  ,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani ya matiti duniani.

Comments are closed.