The House of Favourite Newspapers

MASTAA WALIOFUNIKA TUZO ZA BURUDANI (NEA) 2018

Tuzo za 13 za Nigeria Entertainment (NEA) zilizofanyika Novemba 10  ndani ya Washington DC, Marekani zimefanikiwa kumalizika vizuri huku Davido na Tiwa Savage waking’ara kwenye tuzo hizo.

 

Katika tuzo hizo, Davido alifanikiwa kunyakua Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume wa Mwaka wa Afro Pop huku Tiwa Savage akichukua Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike wa Mwaka wa Afro Pop.

Tuzo za NEA zinahusika na Muziki, Filamu, vichekesho, mitindo, sanaa ya utangazaji na vipaji vingine.

 

Tazama orodha kamili ya washindi hao hapa chini.

Album of the Year: Outside (Burna Boy)

Hottest Single of the Year: Legbegbe (Mr Real)

AfroPop Male Artist of the Year: Davido

AfroPop Female Artist of the Year: Tiwa Savage

Alternative Artist of the Year: Adekunle Gold

Diaspora/International Artist of the Year: Skepta

Best New Act: Small Doctor

Most Promising Act to Watch: Teni

Trailblazer Artist of the Year: Duncan Mighty

Freshvibes Artist of the Year: Peruzzi

Music Producer of the Year: Fresh

Best Music Video of the Year (Director): Prodigeezy- This is Nigeria (Falz)

African Male Artist of the Year (Non-Nigerian): Sarkodie

African Female Artist of the Year (Non-Nigerian): Victoria Kimani.

 

  • ISIKUPITE:JOKATE – “Nilikuwa Modo leo Najifanya Mwanasiasa, Inahusu?”

 

Comments are closed.