The House of Favourite Newspapers

Wanafunzi Wa Shule ya Msingi Mlimani Wanufaika na Elimu ya Afya, Usalama

0

001.MAZINGIRA

????????????????????????????????????

????????????????????????????????????

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la 6 katika shule ya msingi Mlimani jijini Dar es Salaam,Wakimsikiliza Mtaalamu wa Mazingira,Usalama na Afya wa Vodacom Tanzania,Nashon Mudaka akiwafafanulia jambo kuhusiana na siku ya mazingira dunia ambapo baadhi ya wafanya kazi wa kampuni hiyo walitembelea shuleni hapo leo kutoa elimu ya Afya na Usalama katika kuadhimisha siku ya mazingira duniani itakayoadhimishwa rasmi tarehe 5 duniani kote.

Leave A Reply