Wanaowania Tuzo za TFF 2024/25 Wapo Hapa… Kutolewa Desemba 5,The Super Dome, Dar

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefahamisha wanaowania Tuzo za Msimu wa Ligi Kuu 2024/2025, huku tukitarajia watakaoibuka washindi rasmi Desemba 5, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, Dar es Salaam.



