The House of Favourite Newspapers
gunners X

Wanaume Kusikiliza Malalamiko ya Wanaume Kupigwa

0

Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, imetakiwa kuweka utaratibu Wataalam Wanaume ili kupokea na kusikiliza malalamiko ya Wanaume wanaopigwa na kunyanyaswa.

 

 

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amesema sio kwamba Wataalam Wanawake hawawahudumii vizuri bali kusikilizwa na Wanaume kunawafanya wawe huru.

 

Waziri Dkt. Gwajima amesema hata kwenye maeneo ya kujisaidia kuna Me na Ke kwa hiyo ni muhimu kwenye huduma za jamii pia kuwe hivyo.

Leave A Reply