Waziri Dkt Gwajima Awatunuku Tuzo Wanawake 35
JUMLA ya wanawake 35 wamepewa tuzo ya umahiri kwenye biashara zilizotolewa na Chama cha Wanawake Wafanyabiashara (TWCC) .
Walikabidhiwa tuzo hizo jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Maendeleo ya Jamii,…
