Mrembo ambaye ni mwanamitindo Hamisa Mobeto akiwa na mkali wa Bongo Fleva, Ben Pol usiku wa kuamkia leo Maisha Basement katika usiku wa Moyo Mashine.
Mashabiki wakiendelea kujiselfisha na mastaa hao.
Warembo wakiwa katika Red Carpet ya Maisha Basement.
(PICHA NA GLOBAL TV)









