The House of Favourite Newspapers

WAWEKEZAJI WA LIGANGA MCHUCHUMA WAOMBA KUKAA MEZA MOJA NA SERIKALI

Kampuni ya Sichuan Hongda Group ya China yaomba kukaa meza moja na Serikali ili kufikia muafaka wa mradi wa uchimbaji Liganga Mchuchuma,ambapo yasubiri hatima ya mradi huo kutoka Serikalini.

Comments are closed.