Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Akutana na Viongozi wa TAMISEMI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 03, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 3, 2026.
Viongozi wengine walioshiriki kikao kazi hicho ni Katibu Mkuu (OWM-TAMISEMI), Adolf Ndunguru (OWM-TAMISEMI), Naibu Katibu Mkuu (OWM-TAMISEMI), Sospeter Mtwale pamoja na na Mkurugenzi wa Idara ya Tawala za Mikoa, Beatrice Kimoleta.

