The House of Favourite Newspapers

Wivu wa Mapenzi Wazidi Kuleta Maafa Kwa Jamii, Kamanda wa Polisi Athibitisha

0
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini , SACP David Misime

KATIKA kile kinachosemwa kuwa ni wivu wa mapenzi Jeshi la Polisi Masasi mkoani Mtwara Limesema Kifo cha mwalimu wa shule ya msingi Mbaju aliyekutwa amefariki usiku wa kuamkia Agosti 11 pembezoni mwa barabara kimesbabishwa na wivu wa mapenzi.

 

Hayo yameelezwa na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini , SACP David Misime hivi karibuni wakati akitoa ufafanuzi juu ya matukio ya mauaji yaliyofanyika Masasi mkoani Mtwara.

 

Mfululizo wa matukio hayo ya mauaji ya kikatili yalionyesha kuwa vifo hivyo vinatokana na wivu wa mapenzi.

 

Jeshi la Polisi limesema linaendelea na uchunguzi ili kuweza kuwabaini watuhumiwa na kuwafikisha mbele ya sheria.

 

Leave A Reply