The House of Favourite Newspapers

Wiz Khalifa Agonga Free Style Hello ya Adele

0

wizWiz Khalifa

Hello, ni Wiz Khalifa. Wakati akifanya intavyu ya promo ya albamu yake mpya anayoifanya kwa sasa, supastaa Khalifa amerekodiwa na Power 106’s “The Cruz Show” akiimba free style ya wimbo uliovunja rekodi kwa kutazamwa na watu wengi zaidi YouTube kwa muda mfupi, Hello wa Adele ulioko kwenye albamu yake ya Blacc Hollywood ya mwaka 2014.

Khalifa amekuwa miongoni mwa mastaa kibao waliofanya kava ya Hello ya Adele wakiwemo Rick Rose, Leroy Sanchez, Dela wa aliyefanya kava hiyo kwa Kiswahili na wengine wengi.

adele-iheart-radio-2015-billboard-650Adele

Februari 5, ataachia albamu yake hiyo ambayo Khalifa ambayo ndani yake amewashirikisha mastaa kibao wakiwemo Ty Dolla $ign, Juicy J, Chevy Woods, Rico Love, Travis Scott, na mwanaye wa miaka mitatu Sebastian.

Cheki Wiz akiimba Hello ya Adele

Leave A Reply