The House of Favourite Newspapers

Rivers United Yaiduwaza Yanga kwa Mkapa

0

TIMU ya Wananchi Yanga imepoteza mchezo wake wa ligi ya  Mabingwa Afrika Dhidi ya Rivers United kwa bao 1-0 mchezo uliochezwa leo Septemba 12, kwenye uwanja wa Mkapa Dar.

 

Goli pekee limefungwa na mshambuliaji Moses dakika 52, ya mchezo akiunganisha krosi safi baada ya kupigwa kona fupi.

 

Yanga sasa ina mtihani mzito wa kuhakikisha inaibuka na ushindi ugenini nchini Nigeria ili kufuzu kwa raundi ya pili.

 

Leave A Reply